.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 20 Oktoba 2014

POLISI NCHINI KENYA YAWAUWA WAPIGANAJI WATANO WA AL-SHABAAB

Vikosi vya Kenya vimewauwa wapiganaji wa al-Shabaab na kulikamata gari lililokuwa na milipuko pamoja na fulana za kujitoa mhanga.

Tukio hilo lililotokea jana majira ya saa tano usiku huko Dolo, upande wa Ethiopia karibu na mpaka wa mji wa Moyale.

Wapiganaji hao walikuwa wakijaribu kuingia Kenya kupitia mpaka wa Kenya- Ethiopia wakitumia gari aina ya Toyota Prado lenye namba za usajili za Kenya.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni