Amesema kuanzia sasa Waziri wa
Ulinzi ataongoza kitengo cha taifa cha kukabiliana na ugonjwa huo na
kuripoti moja kwa moja kwake. Hapo awali kitengo hicho kilikuwa
kikiongozwa na Waziri wa Afya.
Rais Koroma amesema kunahaja ya
kuchukua hatua za haraka kutokana na watu kuendelea kufa kwa ugonjwa
wa Ebola nchini mwake.
Mlipuko wa hivi sasa wa Ebola
umeshauwa watu 1,200 nchini Sierra Leone, na zaidi ya 4,500 katika
mataifa ya nchi za Afrika Magharibi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni