Shirika la ndege la Virgin Australia
limetangaza leo kuwa litalinunua shirika hilo la ndege linalofanya
kazi kwa hasara la Tiger Australia.
Virgin linahisa asilimia 60 katika
shirika la Tiger lakini sasa linataka kulimiliki lote katika jitihada
za kujaribu kulinusuru na hali mbaya.
Virgini lilinunua sehemu ya umiliki
wa kampuni hiyo kutoka kwa shirika la ndege la Tiger la Singapore kwa
dola ya Australia milioni 35, mwaka jana.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni