Mwanamuziki Beyonce akikatiza mitaa ya jiji la London nchini Uingereza. Mwanamuziki huyu ni mke wa mwanamuziki Jay Z.
Kim Kardashian akikatiza mitaa na kivazi chake. Mwanadada huyu mtangazaji wa vipindi vya luninga ni mke wa mwanamuziki mahiri nchini Marekani, Kanye West.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni