.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 23 Novemba 2014

KIKOSI CHA JESHI LA UINGEREZA CHAWAUWA WAPIGANAJI WA IS 200 NDANI YA MWEZI MMOJA

Kikosi cha jeshi la Uingereza SAS kikitumia pikipiki za matairi manne kimekuwa kikiendesha mashambulizi ya kushtukiza kwa wapiganaji wa kundi la IS nchini Irak.

Takwimu zinaonyesha kuwa mashambulizi hayo yamekuwa na mafanikio ambapo kwa siku wapiganaji kati ya nane huuwawa na ndani ya wiki nne wapiganaji 200 wa IS wameuwawa.

Kikosi hicho cha SAS kimekuwa kikitumia helkopta kuwadondosha wanajeshi wake ardhini baada ya kubaini uwapo wa wapiganaji wa IS na kuwashambulia kwa mtindo wa kushtukiza.
                                                   Helkopta ya Uingereza ikiwa angani nchini Irak
                Mwanajeshi wa Uingereza akikatiza jangwani na pikipiki kuwasaka IS

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni