Mkurugenzi wa Zugo Gold Mining na Mwakilishi wa Wanawake, Maendeleo ya Vijana na Ajira kwa Wachezaji wa Shirikisho na Ngumi za Ridhaa Tanzania (*BFT), Zuwena Idd Kipingu akizungumza na wazazi kwenye hafla ya Mahafali ya 35 Shule ya Montesoty Nursery& Primary iliyofanyika leo.
Mkurugenzi wa Zugo Gold Mining na
Mwakilishi wa Wanawake, Maendeleo ya Vijana na Ajira kwa Wachezaji wa
Shirikisho na Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), Zuwena Idd Kipingu
akizungumza na wazazi kwenye hafla ya Mahafali ya 35 Shule ya
Montesoty Nursery& Primary iliyofanyika leo.
Baadhi ya wahitimu wa shule ya Montesory wakionyesha maonyesho ya kitaaluma.
Babu na wajukuu zake wakisimuliana hadithi kwa vitendo, Kuku na Bata wakimsikiliza Tembo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni