Basi la Mbukio Missio muda mfupi
baada ya kupata ajali ambayo ilisababishwa na Dereva wa Basi hilo,
Hapa vijana wakiwa wamechukua magazeti wakificha jina la Basi hilo
lisitambulike kwa wale wanaokuja kushuhudia ajali hiyo, Nia na lengo
la kufanya hivyo haijafahamika mpaka sasa.
Basi la Mbukio Missio likiwa
limeharibika vibaya kwa mbele baada ya ajali hiyo
Baadhi ya abiria, mashuhuda
pamoja na askari polisi wakiwa eneo la Mlima Nyoka ambapo ajali ilipotokea.
(Picha na Mbeya yetu Blog).



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni