.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 30 Desemba 2014

CHRIS ROCK NA MKEWE WAVUTANA KUHUSU MUDA WA KUANGALIA WATOTO


Inaonekana uhusiano wa Chris Rock na mkewe Malaak Compton, unachukua sura ya uhasama baada ya mcheleshaji huyo kudai katika nyaraka za kisheria alizowasilisha wiki iliyopita kuwa mkewe anamzuia kuwaona mabinti zake kila mara.

Katika nyaraka za talaka ambazo zimenaswa na TMZ, Chris anaomba haki ya kisheria ya kukaa na watoto wake hao wa kike wawili Lola mwenye miaka 12 na Zahra mwenye umri wa miaka 10.

Chris Rock na mkewe Malaak walitangaza siku ya jumapili uamuzi wa kuvunja ndoa yao iliyodumu miaka 20.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni