.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 30 Desemba 2014

RAIS BARACK OBAMA ASEMA RAIS VLADIMIR PUTIN SI MTU MWEREVU

Rais Barack Obama amesema rais Vladimir Putin amefanya kosa la kimkakati, alipoamua kulimega eneo la Crimea kutoka Ukraine, uamuzi ambao sio wa kierevu.

Rais Obama amesema wale waliokuwa wakifikiria Putin ni mwerevu, wamebaini kuwa si kweli baada ya Urusi kutumbukia katika mgogoro wa kiuchumi.

Amesema vikwazo vilivyowekwa vimeufanya uchumi wa Urusi, kuwa tete kutokana na mabadiliko ya bei ya mafuta.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni