Mwanasoka nyota duniani Cristiano
Ronaldo amezidi kujitwalia tuzo kutokana na uwezo wake wa kufunga
magoli.
Tuzo yake ya sasa ni kutoka
Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu baada ya
kufunga magoli 69 katika michuano yote kwa klabu yake ya Real Madrid
na timu ya taifa ya Ureno mwaka 2013.
Ronaldo amepata tuzo hiyo jana na
kisha kutoa picha ya tukio hilo kwa wafuasi wake kupitia Instagram.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni