.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 4 Desemba 2014

IDARA YA SHERIA YA MAREKANI YAANZISHA UCHUNGUZI WA KIFO CHA MTU MWEUSI

Idara ya Sheria ya Marekani imeanzisha uchunguzi kuhusiana na kifo cha mtu mweusi Eric Graner, aliyekabwa koo na polisi mzungu Jijini New York.

Uchunguzi huo umetangazwa na Mwanasheria Mkuu Eric Holder baada ya mahakama kuamua kutomfungulia mashtaka polisi huyo.

Kundi kubwa la watu limekusanyika Jijini New York kupinga uamuzi huo wa mahakama ya juu.

Rais Barack Obama amesema tukio hilo linatoa picha halisi kuhusiana na namna kundi la watu wachache, linavyoshughulikiwa na vyombo vya usimamizi wa sheria.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni