.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 4 Desemba 2014

UTABIRI WAONYESHA MWAKA HUO NIWA JOTO KALI MNO DUNIANI

Wataalam wa Hali ya Hewa wamesema mwaka huu unaelekea kuwa ni wajoto kali mno duniani, na kwa Uingereza rekodi hiyo ya joto kali imeshanza, thathimini za mapema zimeonyesha.

Katika miezi 10 ya kwanza ya mwaka 2014 kiwago cha ujumla cha joto duniani kilikuwa juu kwa ongezeko la nyuzi joto 0.57 ikiwa ni kiwango cha juu kwa muda mrefu.

Na katika miezi 11 Uingereza imekuwa na ongezeko la kiwango cha hewa cha nyuzi jito 1.6 ikiwa ni kiwango cha juu kwa muda mrefu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni