.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 4 Desemba 2014

WATU WAWILI WAJERUHIWA NA BOMU LA KUTUPWA KWA MKONO MJINI GARISSA

Watu wapatao wawili jana jioni wamejeruhiwa nchini Kenya, baada watu wasiofahamika kuwarushia bomu la mkono katika mgahawa wa chakula katika mji wa Garissa.

Akithibitisha tukio hilo Kamishna wa Kaunti ya Garissa Rashid Khator amesema watu hao wamepata majeraha madogo, ambapo kundi la al-Shabaab linahisiwa kuhusika na tukio hilo.

Mashuhuda wa Tukio hilo lililotokea eneo la Bula Adaan, wamesema watu waliojeruhiwa walikuwa nje ya mgahawa huo, wakati watu wasiojulikana walipowarushia mlipuko huo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni