.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 21 Desemba 2014

MAMLAKA ZA AUSTRALIA ZAMFUNGULIA MASHTAKA YA MAUAJI YA WATOTO WANANE MWANAMKE MMOJA

Mamlaka za Australia zimemfungulia mashtaka mwanamke mmoja katika mji wa Kaskazini wa Cairns kwa kuhusika na mauaji ya watoto wake saba pamoja pamoja na mpwa wake.

Polisi wamesema mwanamke huyo Mersane Warria, 37, amefunguliwa mashtaka hayo akiwa hospitali chini ya ulinzi baada ya na yeye kujichoma kisu.

Uchunguzi wa kitabibu unafanyika kubaini chanzo cha vifo vya watoto hao wanane, ambao kati yao wanne ni kiume na wanne ni wakike wenye umri wa kuanzia miezi 18 hadi miaka 15.
                Vilio vikitawala wakati wa kuweka mashada na kuomboleza vifo vya watoto hao

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni