Mfalme wa Thailand, Bhumibol
Adulyadej amefuta utaratibu wake wa kujitokeza mbele ya umma
kuadhimisha miaka 87 ya kuzaliwa kwake, baada ya kushauriwa na
madaktari.
Taarifa hiyo imetolewa wakati ambapo
kukiwa na hofu juu ya afya ya mfalme huyo, ambaye ambaye hutukuzwa
mno na kuheshimiwa na wananchi wa Thailand.
Maelfu ya watu walijitokeza katika
jiji la Bangkok, kwa matarajio ya kumuona mfalme akijitokeza
hadharani katika jumba lake la kifalme.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni