.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 21 Desemba 2014

MOTO WATEKETEZA SOKO LA MITUMBA LA NYAYO JIJINI NAIROBI

Mali zenye thamani ya maelfu ya shilingi za Kenya, imeteketea kwa moto leo asubuhi kufuatia soko la Nyayo lililopo Ngara Jijini Nairobi kuungua moto.

Badhi ya wafanyabiashara wachache walimudu kuokoa mali zao kabla ya kuteketezwa na ndimi za moto huo mkubwa.

Vikosi vya zimamoto vilishindwa kudhibiti moto huo uliochochewa na mbao zilizojenga mabanda ya soko hilo la nguo za mitumba.

Afisa mmoja wa polisi ambaye hakutaka kutaja jina lake, amesema bado haijajulikana chanzo cha kutokea moto huo.
                   Moto mkubwa ukiteketeza mabanda ya mitumba katika soko la Nyayo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni