.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 5 Desemba 2014

MOTO WAUWA WATANO NA KUTEKETEZA NYUMBA 100 KIBERA JIJINI NAIROBI

Watu watano wamefariki dunia katika tukio la moto lililotokea jana usiku katika makazi duni ya Kibera, Jijini Nairobi.

Watu wengine watatu wapo mahututi katika hospitali ya taifa ya Kenyatta, kufuatia janga hilo la moto lililoanza katika moja ya nyumba.

Polisi wamesema moto huo ulianza saa majira ya saa nne usiku na kuunguza zaidi ya nyumba 100, huku mamia ya watu wakiachwa bila makazi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni