.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 2 Desemba 2014

NGUMI ZILIVYOPIGWA KIBAHA MKOA WA PWANI

Bondia Rajabu Omari kushoto akioneshana umwamba na Herman Shekivuli wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani Shekifuli alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza picha na SUPER D BLOG
Bondia Mustafa Dotto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ramadhani Max wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani mwishoni mwa wiki iliyopita Dotto alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu ya mpambano huo picha na SUPER D BLOG
Bondia Shedrack Ignas kushoto akipambana na Fred Masinde wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha mkoa wa Pwani Ignas alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu Picha na picha na SUPER D BLOG
Bondia Zumba Kukwe kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Sweet Kalulu wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha mkoa wa Pwani mpambano huo ulimalizika kwa sare picha na SUPER D BLOG

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni