
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu SheikhAli Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana Jumapili Desemba 29, 2014.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua na familia yaMarehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana Jumapili Desemba 29, 2014.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu SheikhAli Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana Jumapili Desemba 29, 2014
PICHA NA IKULU
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni