.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 5 Desemba 2014

RAIS ROBERT MUGABE ADAI MAKAMU WAKE ALIPANGA NJAMA ZA KUMUUA

Rais Robert Mugabe ameonyesha hasira zake dhidi ya Makamu wa Rais wake Joyce Mujuru akidai kuwa alikuwa akipanga njama za kumuua na kumtuhumu kuwa ni mwizi.

Akiongea katika mkutano wa chama tawala cha Zanu-PF, Rais Mugabe amesema atawachukulia hatua maafisa wote wala rushwa.

Rais Mugabe amesema kutokuwepo Bi. Mujuru katika mkutano huo ni dalali za kuwa makamu wake huyo anaogopa.

Hivi karibuni mjumbe wa Zanu-PF aliyetimuliwa Rugare Gumbo, alidai kuwa Rais Mugabe amekigeuza chama hicho kuwa mali yake binafsi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni