.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 31 Desemba 2014

RAPA KANYE WEST AUNGA MKONO IDRIS ELBA KUWA JAMES BOND WA KWANZA MWEUSI

Mjadala unaokuwa kwa kasi iwapo Idris Elba awe muigizaji wa kwanza mweusi kuigiza nafasi ya James Bond, umeonekana kuungwa mkono na mmoja wa rapa maarufu wa Marekani Kanye West.

Rapa huyo muongeaji mno, amesisitiza kuwa Idris ni chagua sahihi kuchukua jukumu la kumbadili Daniel Craig, na kazi hiyo itakuwa ni ya maono makubwa.

Kanye ameliambia gazeti la The Sun, kuwa anamjua Idris kiasi na ni mtu mwenye kipaji kikubwa cha uigizaji, na filamu alizoigiza ni kali na jukumu la James Bond likija yeye anafaa.
                                                                    James Bond wa sasa Daniel Craig

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni