.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 4 Desemba 2014

TBL YAMKABIDHI KAMANDA MPINGA RIPOTI YA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA NCHINI

Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Stephen Kilindo,(kushoto), akimkabidhi Kamanda Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Mohammed Mpinga. Ripoti ya Upimaji wa afya za madereva, wakati wa Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani iliyofanyika Novemba 22 hadi 28 katika vituo vya mikese, mkoaniMorogoro. Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam juzi.
Kamanda Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Mohammed Mpinga. akitoa shukrani kwa TBL baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Upimaji wa afya za madereva.
                                                                     Mganga Mkuu wa Polisi akisoma ripoti hiyo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni