Mahakama ya Jinai nchini Misri leo imewahukumu zaidi ya wafuasi 118 wa kundi la Muslim Brotherhood wanyongwe hadi kufa.
Hukumu hiyo imekuja baada ya kukutwa na hatia ya kuua polisi 11 baada ya kuvamia kituo cha polisi huko Kerdasa, Magharibi mwa jiji la Cairo mwaka 2013.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni