.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 27 Januari 2015

ALIYEKUWA KAMANDA WA LRA DOMINIC ONGWEN APANDA KIZIMBANI ICC

Aliyekuwa kamanda mkatili wa waasi wa Lord's Resistance Army, Dominic Ongwen amefikishwa kwa mara ya kwanza katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu jana akituhumiwa kwa uhalifu wa kivita pamoja na uhalifu dhidi ya binadamu.

Usikiliza wa awali wa kesi ya mpiganaji huyo ambaye alitekwa akiwa mtoto na kutumbukizwa katika mapigano na Kiongozi wa kundi hilo Bw. Joseph Kony, umekuja ikiwa ni siku chache baada ya kujisalimisha kwa kikosi cha Marekani mapema mwezi huu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni