Wachezaji wa timu ya Mtibwa Sigar wakipasha moto misuli kabla ya kukaguliwa na Mgeni Rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakati wa ufunguzi wa michuano hiyo iliyonaza leo Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na Kamisaa wa Mchezo huo Musin Kamara, wakati wa uzinduzi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi, katika uwanja wa Amaan.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Simba kabla ya kuaza kwa mchezo huo wa ufunguzi uliofanyika uwanja wa Amaan usiku leo.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Mtibwa Sigar,kabla ya kuaza kwa mchezo huo wa ufunguzi uliofanyika uwanja wa Amaan usiku leo
Wachezaji wa timu ya Simba wakisalimiana na Wachezaji wa timu ya Mtibwa Sugar kabla ya kuanza kwa mchezo wao wa ufunguzi uliofanyika uwanja wa Amaam. Timu ya Mtibwa imeshinda bao 1-0.
Kikosi cha Simba
Kikosi cha timu ya Mtibwa Sugar
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni