Mshambuliaji wa timu ya Shaba Khamis Ramadhani akimimina jaro golini kwa timu ya Polisi.
Wachezaji wa timu ya Polisi na Shaba wakiwania mpira katika mchezo huo, Timu ya Polisi imeshinda 1-0 Mshambuliaji wa timu ya Shaba akiruka kiunzi cha Beki wa timu ya Polisi Mwita Makame.
Mashabiki wakishangilia mchezo kati ya Polisi na Shaba uliofanyika uwanja wa Amaan jioni hii.
Nahodha wa tim u ya Shaba Sheha Khamis, akimpita mchezaji wa timu ya Polisi katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika uwanja wa Amaan.Timu ya Polisi imeshinda 1--0. Mshambuliaji wa timu ya Shaba (Wazee wa Dago)huku beki wa timu ya Polisi akijiandaa kumzuiya Mshambuliaji wa timu ya Shaba Vumbi Shungu, akijiandaa kumpita beki wa timu ya Polisi Mwita Makame, Timu ya Polisi imeshinda 1--0.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni