| Bondia Jacobo Maganga kushoto akipambana na Shabani Kaoneka wakati wa mpambano wao uliomalizika kwa sare Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Mabondia wa uzito wa juu Iddi Bonge kushoto na Mussa Mbabe wakipambana wakati wa mpambano wao Bonge alioshinda kwa K,O ya raundi ya kwanza na kumsambalatisha Mussa Picha na SUPER D BOXING NEWS. |
| Mabondia wa uzito wa juu Iddi Bonge kushoto na Mussa Mbabe wakipambana wakati wa mpambano wao Bonge alioshinda kwa K,O ya raundi ya kwanza na kumsambalatisha Mussa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Bondia Jacobo Maganga kushoto akipambana na Shabani Kaoneka wakati wa mpambano wao uliomalizika kwa sare katika mpambano huo uliovuta isia za watu wengi Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Dula mbabe akivalishwa glove na Shomari Kimbau |
| Mabondia Abdallah Pazi Kushoto na Thomas Mashali wakioneshana ufundi wa kutupiana makonde wakati wa mbambao wao wa kufungua mwaka uliomalizika kwa droo baada ya kugongana vichwa katika raundi ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni