.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 3 Januari 2015

ZOEZI LA KUHAKIKI ABIRIA NDANI YA MELI LAANZA BANDARI YA MKOANI

  MJUMBE wa ZMA Kapteni Msilimiwa Iddi Juma, akitowa maelezo yake katika kikao cha Wajumbe wa ZMA na kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Mkoani, kabla ya kufanya operesheni ya kuhakiki abiria katika meli bandarini hapo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAJUMBE wa bodi ya wakurugenzi wa mamlaka ya usafiri baharini Zanzibar (ZMA), wakishirikiana na kamati ya ulinzi na usalama Wilaya ya Mkoani, wakihakiki idadi ya abiri katika operesheni maalumu waliyofanya katika bandari ya Mkoani kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni