Burudani itakayo fungua mpango huo wa 'JEMBEKA' ni kutoka kwa kundi maarufu Afrika Mashariki lililovuka mipaka na sasa muziki wake kuchezwa hadi barani Ulaya kundi la Sauti Sol toka nchini Kenya ambao watapiga muziki LIVE.
Vijana wa Nyumbani JJ Band nao watakuwepo ndani ya Jembe Beach Resort kwaajili ya kumwaga burudani ya kijanja zaidi ya vile ulivyowazoea. Kiingilio ni shilingi 10,000 kwa tiketi za awali na Tshs 15,000 ukinunua getini.
Tiketi zinapatikana ofisi za Jembe Fm zilizopo PPF Plaza Mwanza. Ni chini ya udhamini wa K Vant Gin, Coca cola, ikiwezeshwa na Jembe ni Jembe, Jembe Fm, Jembe Djz na G.SENGO BLOG.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni