Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto)
akikaribishwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Liberata
Mulamula wakati Waziri huyo alipowasili ubalozini hapo jijini Washington DC
kujiandaa kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Vurugu na Ugaidi
duniani unaotarajiwa kufanyika jijini humo kesho. Picha na Felix Mwagara,
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati)
akimsalimia Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, jijini
New York, nchini Marekani, Tuvako Manongi wakati Waziri huyo alipowasili
ubalozi wa Tanzania nchini humo uliopo katika Jiji la Washington DC kwa ajili
ya kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Vurugu na Ugaidi duniani
unaotarajiwa kufanyika jijini humo kesho. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini
Marekani na Mexico, Liberata Mulamula. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Liberata
Mulamula (katikati) akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias
Chikawe (watatu kulia) Maofisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini humo wakati Waziri
huyo alipowasili ofisini hapo, jijini Washington DC kwa ajili ya kushiriki
Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Vurugu na Ugaidi duniani unaotarajiwa
kufanyika jijini humo kesho. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wanne
kulia) akizungumza na Maofisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani baada ya
Waziri huyo kuwasili ubalozini hapo jijini Washington DC kwa ajili ya kushiriki
Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Vurugu na Ugaidi duniani unaotarajiwa kufanyika
jijini humo kesho. Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico,
Liberata Mulamula. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe
(katikati), Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Liberata Mulamula
(kushoto) na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, jijini
New York, nchini humo, Tuvako Manongi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada
ya kumpokea Waziri huyo aliyewasili jijini Washington DC kwa ajili ya kushiriki
Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Vurugu na Ugaidi duniani unaotarajiwa
kufanyika jijini humo kesho. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili
kulia) akimsikiliza kwa makini Afisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama ya
nchini Marekani, Emmanuel Nwankwo (wapili kushoto) katika mkutano wao
uliofanyika jijini Washington DC katika Ukumbi wa Mkutano wa Ubalozi wa
Tanzania nchini Marekani. Katika mazungumzo yao maafisa hao wa Marekani
wanatarajia kutua nchini Tanzania kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa maafisa
Uhamiaji, Polisi na Maafisa Forodha ya kushirikiana kwa Serikali hizo mbili kwa
ajili ya kudhibiti mipaka kwa kuzuia bidhaa haramu zikwemo silaha, dawa za
kulevya pamoja na bidhaa mbalimbali za hatari kwa maendeleo ya nchi ambazo
zinaweza kuingizwa nchini kutoka kwenye nchi mbalimbali duniani. Waziri Chikawe
yupo nchini humo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na
Vurugu na Ugaidi duniani hata hivyo alipata muda wa kuzungumza na maafisa hao
baada ya kumuomba kukutana naye. Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani
na Mexico, Liberata Mulamula. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili
kulia) akiwafafanulia jambo maafisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama ya
nchini Marekani katika mkutano wao uliofanyika jijini Washington DC katika
Ukumbi wa Mkutano wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Katika mazungumzo yao
maafisa hao wa Marekani wanatarajia kutua nchini Tanzania kwa ajili ya kutoa
mafunzo kwa maafisa Uhamiaji, Polisi na Maafisa Forodha ya kushirikiana kwa
Serikali hizo mbili kwa ajili ya kudhibiti mipaka kwa kuzuia bidhaa haramu
zikwemo silaha, dawa za kulevya pamoja na bidhaa mbalimbali za hatari kwa
maendeleo ya nchi ambazo zinaweza kuingizwa nchini kutoka kwenye nchi
mbalimbali duniani. Waziri Chikawe yupo nchini humo kwa ajili ya kushiriki
Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Vurugu na Ugaidi duniani hata hivyo alipata
muda wa kuzungumza na maafisa hao baada ya kuomba kukutana naye. Katikati ni
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Liberata Mulamula. Picha na Felix
Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wanne
kushoto), Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Liberata Mulamula
(watatu kushoto), na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa,
jijini New York, nchini Marekani, Tuvako Manongi wakiwa katika picha ya pamoja
na Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani pamoja na Maafisa wa Wizara
ya Mambo ya Ndani na Usalama ya nchini Marekani. Waziri Chikawe alikutana na
Maafisa hao wa Marekani, jijini Washington DC kujadiliana masuala mbalimbali
likiwemo la Maafisa hao wakitarajia kuja nchini Tanzania kwa ajili ya kutoa
mafunzo kwa maafisa Uhamiaji, Polisi na Maafisa Forodha ya kushirikiana kwa
Serikali hizo mbili kwa ajili ya kudhibiti mipaka kwa kuzuia bidhaa haramu
zikwemo silaha, dawa za kulevya pamoja na bidhaa mbalimbali za hatari kwa maendeleo
ya nchi ambazo zinaweza kuingizwa nchini kutoka kwenye nchi mbalimbali duniani.
Waziri Chikawe yupo jijini Washington DC katika Mkutano wa Kimataifa wa
Kupambana na Vurugu na Ugaidi duniani, hata hivyo alipata muda wa kuzungumza na
maafisa hao baada ya kuomba kukutana naye. Katikati ni Balozi wa Tanzania
nchini Marekani na Mexico, Liberata Mulamula. Picha zote na Felix Mwagara,
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia)
akizungumza na mwanamuziki mkongwe wa Bongo Flava, Hamis Mwinjuma maarufu kama
Mwana FA wakati mwanamuziki huyo alipokutana na Waziri huyo jijini Washington
DC katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Waziri Chikawe yupo nchini humo
kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Vurugu na Ugaidi
duniani, na kwa upande wa Mwana FA yupo nchini Marekani kwa ajili ya matembezi
yake binafsi hata hivyo alienda ubalozini hapo kwa ajili ya kumsalimia Balozi.
Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili
kulia), Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Liberata Mulamula wakiwa
katika picha ya pamoja na mwanamuziki mkongwe wa Bongo Flava, Hamis Mwinjuma
maarufu kama Mwana FA wakati mwanamuziki huyo alipokutana na Waziri huyo jijini
Washington DC katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Waziri Chikawe yupo
nchini humo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Vurugu
na Ugaidi duniani, na kwa upande wa Mwana FA yupo nchini Marekani kwa ajili ya
matembezi yake binafsi hata hivyo alienda ubalozini hapo kwa ajili ya
kumsalimia Balozi. Kulia ni rafiki wa mwanamuziki huyo ambaye pia ni
mfanyabiashara, Swalah Saidi. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni