.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 18 Februari 2015

MWILI WA MTOTO MLEMAVU WA NGOZI ALIYEPORWA JUZI WAPATIKANA MSITUNI

Mwili wa mtoto wa mwaka mmoja mwenye ulemavu wa ngozi Yohana Bahati aliyeporwa juzi Mkoani Geita, umekutwa jana jioni ukiwa umekatwa miguu na mikono yote na kufukiwa aridhini kwenye hifadhi ya msitu wa Biharamulo, Wilayani Chato.

Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Geita Joseph Konyo amesema mwili wa mtoto huyo umebainika jana majira ya saa 12:30 jioni ukiwa umefukiwa kwenye eneo ambalo linashamba la mahindi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni