Basi la abiria limetumbukia kwenye
bonde lenye mto kati kati ya Venezuela na kuuwa watu 11 na kujeruhi
watu wengine 36.
Ajali hiyo iliyosababishwa na dereva
kushindwa kumiliki gari katika jimbo la Aragua, kusini magharibi mwa
Caracas.
Katika ajali hiyo dereva wa basi ni
miongoni mwa watu 11 waliokufa, huku majeruhi wakikimbizwa katika
miji ya karibu ya Maracay na La Victoria kwa ajili ya matibabu.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni