.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 23 Machi 2015

WAFUNGWA NCHINI KENYA HAWATOPASWA TENA KULA BURE WAKATI WAKITUMIKIA VIFUNGO

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Joseph Nkaissery amesema wafungwa nchini Kenya hawatopaswa tena kula bure wakati wakitumikia vifungo vyao magerezani.

Waziri huyo amesema atapendekeza wafungwa kufanyakazi katika ujenzi wa barabara, ili kupunguza gharama za kuwatunza magerezani.

Akiongea na wafungwa katika ziara yake ya kwanza magerezani katika gereza la Malindi, Waziri Nkaissery amesema serikali ya Kenya inatumia fedha nyingi kuwalisha watu waliovunja sheria na kuishia magerezani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni