Rais
wa CECAFA na mjumbe wa Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika
(CAF), Bw. Leodgar Tenga kesho jumatatu Machi 30, 2015 saa 6:30
mchana ataongea na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Mikutano wa
TFF uliopo Uwanja wa Karume.
Waandishi
wote wa habari mnaombwa kuhudhuria mkutano huo bila kukosa.
Imetolewa
na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni