.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 6 Machi 2015

RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN ATOA MKONO WA POLE KUFUATIA KIFO CHA BI BENADETA FRANCIS KIANGA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimfaraji Mtoto wa mareheme Ray alipofika kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Marehemu Bi Benadeta Francis Chacha Kianga Wilaya ya Magharibi Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana wafiwa waMarehemu Bi Benadeta Francis Chacha alipofika kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Kianga Wilaya ya Magharibi Unguja leo.[Picha na Ikulu.]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni