Chuo Kikuu cha Cape Town (UCT)
kimepiga kura ya kuondoa sanamu la mkoloni Muingereza Cecil Rhodes
ambalo lilikuwa kama alama kuu ya chuo hicho kwa miaka kadhaa.
Wanafunzi wa chuo hicho wamepiga
kampeni ya kuondolewa kwa sanamu hilo lililojengwa karne ya 19,
ambapo sasa litatolewa leo na kuhifadhiwa mahala salama.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni