Mwanamke mmoja jana amekamatwa na
polisi katika kanisa la Anglikana la Kenya, la Mombasa baada ya
kubainika na waumini akiongea na simu pamoja na kutuma ujumbe mfupi
wa maandishi wakati misa ikiendelea.
Kukamatwa kwa mwanamke huyo
kunatokana na hofu ya matukio ya ugaidi Kenya ambapo pia misa ilibidi
isimame na waumini kutolewa nje ya kanisa baada gari iliyokuwa
ikitiliwashaka kukutwa imeegeshwa katika mlango wa kanisa.
Gari lililotiliwa shaka likivutwa na gari la Breakdown


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni