.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 29 Aprili 2015

KIONGOZI WA KOREA KASKAZINI AAGIZA KUUWAWA WATU 15 KATIKA MWAKA HUU

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un ameagiza kuuwawa watu 15 katika mwaka huu wakiwemo maafisa waandamizi kadhaa wa serikali yake.


Idara ya Upelelezi ya Korea Kusini imekiambia kikao cha bunge hii leo kuwa watu hao wameuwawa kwa kupigwa risasi kwa madai kuwa ni mashushushu.


Waliouwawa ni pamoja na manaibu waziri wawili, waliopingana na Kim kuhusina na sera zake pamoja na maafisa wa idara ya upelelezi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni