Maalim Seif akizungumza jambo msibani na Waziri Mkuu Mizengo Pinda
Makamu wa Pili wa Rais Znz Balozi Ali Iddi akisalimiana Makamu wa Kwanza wa Rais Znz Maalim Seif.
Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Slaa akimpa pole Mhe. Pinda
Maalim Seif, Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba wakishiriki kubeba jeneza





Hakuna maoni :
Chapisha Maoni