Mamia ya watu wanahofiwa kufariki dunia huku nyumba nyingi zikibomoka kufuatia mafuriko makubwa yaliyoikumba mji wa Narok nchini Kenya kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.
Magari 10 yalisombwa na maji huku mashuhuda wakisema kuwa waliona miili ya watu 3 ikielea katika mto Ngare, huku mawasiliano ya barabara yakikatika.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni