Mili isiyona nguo ya mwanaume na
mwanamke imekutwa ikiwa ndani ya masanduku ya bati katika jimbo la
Haryana nchini India, huku polisi wakihisi ni mauaji yaliyofanywa
kulinda heshima ya familia.
Wakazi wa eneo lililotokea tukio
hilo waliibaini miili ya watu hao, ambao inaaminika umri wao ni kati
ya miaka 20, ikiwa kwenye eneo la bustani ya kupumzikia watu huko
Sonipat.
Mamia ya watu huuwawa nchini India
kwa kujihusisha na mapenzi ama kuolewa na mtu ambaye hakubaliki na
familia.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni