Mchungaji wa kanisa raia wa Ghana anashikiliwa kwa tuhuma za kuhusika kumuua mkewe mjamzito raia wa Uingereza kwenye chumba cha hoteli nchini Ghana.
Mwili wa mkewe Charmain
Adusah, 41, uligundulika na wafanyakazi wa hoteli ukiwa uso upo ndani
ya beseni la kuogelea, na inaaminika alikuwa hivyo kwa siku nne kabla
ya kubainika.
Mume wa marehemu Eric
Isaiah Adusah, ambaye anajiita kuwa ni nabii na muhubiri inadaiwa
aliondoka hotelini akiwa na haraka katika siku ambayo inaaminika kuwa
ndiyo mkewe huyo alikufa.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni