Meneja Mahusiano wa NSSF Bi Eunice Chiume, akiwapongeza wachezaji wa timu yake ya netiboli iliocheza na ZSSF katika viwanja vya Bomani Polisi. Meneja Rasilimali Watu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF Ndg.Makame Mwadini akimkabidhi Kombe wa Ubingwa wa Bonaza Nahodha wa timu ya netiboli ya ZSSF Mwanajuma Waziri baada ya ushindi wao dhidi ya ndugu zao NSSF mchezo uliofanyika viwanja vya Bomani Polisi, Timu ya ZSSF imeshinda 36-26
Maofisa wa NSSF wakiwasalimia wachezaji wa ZSSF baada ya mchezo wao kumalizika uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Meneja Rasilimali Watu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Makame Mwadini, akizungumza na Wanamichezo wa ZSSF na NSSF, wakati wa Bonaza la Pasaka lililofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. Meneja Rasilimali Watu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Makame Mwadini akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Bonaza la Pasaka Kepteni wa Timu ya NSSF Mzee Mwinyi na kulia Mkurugenzi Rasilimali Wat wa NSSF Bi Chiku Matessa Meneja Rasilimali Watu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Makame Mwadini akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Bonaza la Pasaka Kepteni wa Timu ya NSSF Mzee Mwinyi na kulia Mkurugenzi Rasilimali Wat wa NSSF Bi Chiku Matessa Meneja Uhusiano NSSF Eunice Chiume Wachezaji wa timu ya NSSF wakishangilia Ushindi wao dhidi ya timu ya ZSSF ya Zanzibar wakati wa mchezo wa Bonaza la Pasaka uliofanyika uwanja wa Amaan Wachezaji wa timu ya NSSF wakishangilia Ushindi wao dhidi ya timu ya ZSSF ya Zanzibar wakati wa mchezo wa Bonaza la Pasaka uliofanyika uwanja wa Amaan Mchezaji wa timu ya NSSF Mzee Mwinyi kimpita beki wa timu ya ZSSF.
Mchezaji wa NSSF akiwania mpira huku beki wa timu ya ZSSF akiwa tayari kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Bonaza la Pasaka uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. Golikipa wa Timu ya NSSF akiokoa mpira golini kweke.
Viongozi wa NSSF wakifuatilia mchezo wao wa Bonaza la Pasaka na timu ya ZSSF uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya NSSF imeshinda 4-3 Wachezaji wa timu ya NSSF wakishangilia timu yaoi baada ya kushinda kwa matuta dhidi ya timu ya ZSSF kwa ushindi mabao 4-3
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni