.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Alhamisi, 16 Aprili 2015
NDESAMBURO ATANGAZA KUTOGOMBEA JIMBO LA MOSHI MJINI .AMUACHIA MIKOBA MEYA JAFARY MICHAEL
Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakifuatili mkutano wa hadhara wa Chadema uliofanyika katika eneo la soko la Manyema.
Katibu mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Moshi na Diwani wa Kata ya Kiusa ,Stephen Ngasa akizungumza katika mkutano huo wa hadhara.
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akiwasili katika viwanja eneo la soko la Manyema akiwa ameongozana na Diwani wa kata ya Mji
Mpya ,Abuu Shayo na Stephen Ngasa wa kata ya Kiusa.
Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akimtambulisha Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Jafary kuwa mrithi wake wa kiti cha ubunge katika jimbo hili wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi
oktoba.
Mstahiki Meya a manispaa ya Moshi,Jafary Michael akihutubia mamia ya wananchi waliofika katika mkutano huo uliofanyika katika viwanja vilivyoko jirani na soko la Manyema .
Mmoja wa wafuasi wa Chadema akiwa amekaa chini akifuatilia mkutano
huo.
Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini ,Philemoni Ndesamburo akiteta jambo na
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Hai,Clement Kwayu wakati wa mkutano wa hadhara.
Mamia ya wananchi katika mji wa Moshi wakishangilia hotuba iliyokuwa
ikitolewa na Msathiki Meya wa manispaa ya Moshi,Jafary Michael.
Ndesamburo akizungumza na wananchi wa Moshi mara baada ya
kumtangaza mrithi wake katika jimbo la Moshi mjini.
Mamia ya wananchi wakimsikiliza Ndesamburo.
Mstahiki Meya ,Michael akiwa amekaa kando ya Mbunge ,Philemoni Ndesamburo .
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya
Kaskazini.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni