Mchezaji namba moja
duniani katika mchezo wa tenesi kwa wanawake Serena Williams
amempeleka puta Carla Suarez Navarro na kushinda taji lake la nane la
michuano ya wazi ya Miami.
Serena ambaye ametimiza
muri wa miaka 33, alicheza vyema na kushinda kwa seti 6-2 6-0 katika
muda wa dakika 56 na kutwa taji la tatu mfululizo katika uwanja wa
Crandon Park.
Mmarekani huyo
aliyeshinda michezo yake 10 yote aliyotinga fainali alimdhibiti
vilivyo Suarez Navarro.
Serena akirudisha mpira uliopigwa na Carla



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni