.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 2 Aprili 2015

UN YASEMA RAIA WA KIGENI WANAOJIUNGA NA KUNDI LA IS YAONGEZEKA

Ripoti ya Umoja wa Mataifa imesema zaidi ya wapiganaji wakigeni 25,000 wamesafiri kujiunga na makundi ya kigaidi kama al-Qaeda pamoja na Dola ya Kiislam (IS).

Wataalam wanasema wingi wa wapiganaji wa kigeni kujiunga na makundi hayo ni wa juu katika historia.

Wapiganaji kutoka karibu nchi 100 wamesafiri kwenda maeneo ya Irak, Syria, Libya pamoja na Pakistani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni