.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 15 Aprili 2015

WAZIRI NYALANDU AKAGUA MIPAKA YA MBUGA YA SADAANI NA KUAMURU MGOGORO WA MIPAKA UMALIZWE

ny1
Waziri wa Maiasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dk Adrehem Meru, wakipata maelekezo kuhusiana na mipaka ya hifadhi ya Taifa ya Saadan kutoka kwa Mhifadhi Mkuu wa Saadan, Alhaj Hassan Nguruma (katikati) walipotembelea kutatua mgogoro uliohusu wananchi na hifadhi hiyo. ny2
Mhifadhi Mkuu wa Saadan, Alhaj Hassan Nguruma(katikati) akitoa maelezo kwa Waziri wa Maiasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dk Aderehem Meru kuhusiana na mogoro wa mipaka baina ya hifadhi hiyo na wawekezaji wa shamba linalopakana na hifadhi hiyo. Waziri Nyalandu aliamuru mipaka ya zamani izingatiwe ili kumaliza mgogoro huo. ny3
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyallandu na Katibu mkuu wake Adrehem Meru wakiwa katika boti katika mto wami juzi walipotembelea hifadhi hiyo kwa ajili ya kutatua mgogoro wa mpaka katika ya hifadhi hiyo na wananchi. ny5 
Msafara wa Waziri wa Maliasili na utalii Lazaro Nyallandu na Katibu mkuu wake Adrehem Meru ukipita kwa tabu katika barabara iliyoharibika kutokana na mvua wakati wakikagua mto Wami ambao awali ulikuwa mpaka wa Hiadhi ya Saadana na kupanuliwa kitu kilichosababisha kuwapo kwa mgogoro wa muda mrefu wa mipaka. Waziri Nyalandu aliamuru mgogoro huo kumalizwa mara moja kwa kuzingatia mipaka ya zamani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni