Mbunge wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar,Mohamed Raza akionesha baadhi ya vifungu vya sheria
vilivyopo kwenye kitabu kidogo cha sheria za Zanzibar,Mbele ya
Waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo katika ukumbi wa Idara ya
Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam.
Mtangazaji wa BB Swahili nchini
Tanzania,Arnold Kayanda akifanya mahojiano mafupi na Mbunge wa Baraza
la Wawakilishi Zanzibar, Mohamed Raza mara baada ya kuzungumza na
Waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini
Dar es Salaam leo.
Baadhi ya waandishi wa habari
waliohudhuria mkutano wa Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,
Mohamed Raza katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es
Salaam leo. Picha na Avila Kakingo-Globu ya Jamii.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni