Mwanaume mmoja nchini China ambaye
amefumaniwa na wapenzi wake wa kike 17 kwa pamoja amekamatwa na
vyombo vya dola kwa kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu.
Mwanaume huo kutoka mkoa wa Hunan,
aligonga vichwa vya habari baada ya wanawake hao 17 kubaini kuwa wote
wanatembea naye wakati walipoenda hospitali kumuangali.
Shitaka la tuhuma za kujipatia fedha
kwa njia za udanyanyifu limefunguliwa dhidi yake kutokana kuchukua
mara kwa mara fedha kutoka kwa wanawake hao aliokuwa anawalaghai.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni