.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 24 Mei 2015

NGUMI ZA TPBC NA KINYOGOLI FONDITION ZILIVYOPIGWA

Mwenyekiti wa kamisheni ya ngumi za kulipwa TPBC Chaurembo Palasa kushoto akimkabidhi mtoto Salim Mponda kifuta jasha ambacho kilitolewa na mashabiki wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala baada ya kuonesha shoo safi ya ngumi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Omari Mwezi kushoto akipambana na Raymond Mbwago wakati wa mpambano uliofanyika jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala Dar es salaam Bwago alishinda kwa point Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Omari Mwezi kushoto akipambana na Raymond Mbwago wakati wa mpambano uliofanyika jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala Dar es salaam Bwago alishinda kwa pointPicha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Raymond Bwago kutoka Super D Boxing Club iliyopo shule ya Uhuru akinyooshwa mkono juu na refarii Ally Bakari baada ya kumgalagaza Omari Mwezi katika mpambano wa raundi nne Picha  na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Chipkizi Salim Mponda akipiga ngumi ya kuingia ndani mwenzake Hemed Mrema wakati wa mpambano wa shoo uliofanyika katika ukumbi wa panandi panandi jumamosi
Mwenyekiti wa kamisheni ya ngumi za kulipwa TPBC Chaurembo Palasa kushoto akimkabidhi mtoto Salim Mponda kifuta jasha ambacho kilitolewa na mashabiki wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala baada ya kuonesha shoo safi ya ngumi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni